Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 14: Mapishi> Exercise 4:

Exercise 4: Zoezi la tano

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Familia ya Bwana Mwinsongo wanaishi wapi?

2. Wanakula nini wakati wa chamshakinywa?

3. Wanakunywa nini?

4. Wanakaa wapi wakati wa kula?
5. Je, wanakula vipi?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.