Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 9: Usafiri (Travel) > Exercise 6:

Exercise 6: Zoezi la sita:

Jaza nafasi kwa kuchagua jawabu sahihi kutoka a mpaka e.

1. Mtu anaweza kwenda Unguja kwa
  1. baiskeli
  2. historia
  3. meli
  4. miguu
  5. mdogo
2. Mji wa Zanzibar ni mji sana
3. Katika mji wa Zanzibar, watu wengi huenda kazini kwa
4. Mji wa Gede ni mashuhuri kwa yake
5. Katika mji wa Zanzibar, watu wachache hutumia

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.