Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 9: Usafiri (Travel) > Exercise 4:

Exercise 4: Zoezi la Nne

Jaza nafasi kwa kuchagua jawabu sahihi kutoka a mpaka e.

1. Katika Tanzania watu wengi hutembea kwa .
  1. kichwani
  2. uchukuzi
  3. miguu
  4. karibu
  5. maduka
2. Watu wengi hufanya shughuli zao katika maeneo ya mbalimbali
3. Katika mitaa mingi ya Dar-es-Salaam kuna ya bidhaa mbalibali
4. Njia ya ubebaji mizigo ni maarufu sana nchini Tanzania
5. Watu wengi hufanya kazi ya wa mizigo

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.