Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 8: Jiografia (Geography) > Exercise 5:

Exercise 5: Zoezi la tano:

Ni kweli au Si kweli? Bonyeza mshale sahihi

1. Mji wa Mombasa umegawanyika katika sehemu mbili. KweliSi kweli
2. Mji wa kisasa umejengwa katika enzi ya Waarabu. KweliSi kweli
3. Majengo ya mji wa kisasa yanafanana sana na majengo ya ulaya. KweliSi kweli
4. Historia ya mji wa Mombasa ni historia ya vita mbalimbali. KweliSi kweli
5. Ngome ya Fort Jesus ilikuwa makao makuu ya ulinzi. KweliSi kweli

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.