Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 3: Familia > Glossary

Unit 3: Glossary

Kiswahili English
-andaa set - kuandaa meza 'to set the table'
-anza begin
asubuhi morning
baadaye later
babu grandfather
baina ya between
bwana mister
bibi grandmother
chai tea
chakula food
chamshakinywa breakfast
-eupe white
-engine other
familia family
fika arrive
funza teach -kujifunza 'to teach oneself'
halafu later
heshima respect - kuheshimu 'to respect'
-hudumia serve
-imarisha strengthen
-jibu reply
-kaa sit
kabla ya before
kama if
kanzu dress
karibisha welcome - kukaribisha mgeni 'to welcime a guest'
kata cut - kukata kata 'to cut repeatedly'
kiungo link
-kunywa drink
kwanza first
kwa sababu because
maisha life
mama mother
mambo (jambo) matters, activities
marafiki (rafiki) friends
mbali mbali various
meza table(s)
-mimina pour
mkate (mikate) bread (breads)
mke (wake) wife (wives)
muhimu important
namna type
nusu half
nyumba house(s)
-onyesha show
pamoja na together with
pia also
-pokea receive
-saidia help
sasa now
siasa politics
shangazi aunt (father's sister)
shemeji brother in law
sherehe celebration
sukari sugar
-tembelea visit
uhusiano relationship
Unguja Zanzibar island
-vaa wear
wageni (mgeni) visitors (visitor)
waislamu (mwislamu) muslims (muslim)
wajukuu (mjukuu) grandchildren (grandchild)
wakati time
wanawake (mwanamke) women (woman)
watu (mtu) people (person)
wazazi (mzazi) parents (parent)
yaani that is
-zungumza converse

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.