Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 1: Kukutana > Exercise 4:

Exercise 4: Zoezi la Nnne

Chagua jawabu sahihi:

  1. Mama anawaaga watoto kwa kusema (Mother says goodbye to her children by saying:)

  a. Kwaheri
   
  b. kwaherini
   
  c. Karibuni
   
  2. Watoto wanamwaga mama kwa kusema (The children say goodbye to their mother by saying:)

  a. Kwaheri
   
  b. kwaherini
   
  c. Karibuni
   
  3. Watoto wanamwamkia mama kwa kusema (The chldren greet their mother by saying:)

  a. habari
   
  b. marahaba
   
  c. shikamoo
   
  4. Mama Hadija anasema "Karibu ukae". Mgeni anajibu: (Mama Hadija says "Karibu ukae". Mgeni responds:)

  a. Hodi
   
  b. Asante
   
  c. Tutaonana
   
  5. Mgeni anasema "Hodi". Mama Hadija anasema: (Mgeni says "Hodi". Mama Hadija says:)

  a. Hodi
   
  b. Asante
   
  c. Karibu
   
  6. Mgeni anauliza "Watoto hawajambo?" Mama Hadija anajibu: (Mgeni asks "Watoto hawajambo?" Mama Hadija responds: )

  a. Hatujambo
   
  b. Hawajambo
   
  c. Sijambo
   

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.