KARIBU MGENI (WELCOME GUEST)
Mgeni: Hodi
Mama
Hadija: Karibu
Mgeni:
Hodi
Hodi wenyewe
Baba
Hadija: Karibu
Mama Hadija: Karibu
Mgeni: Asante
Mama
Hadija: Eeh,
hujambo?
Mgeni:
Sijambo.
Mama Hadija, habari
za hapa?
Mama Hadija: Nzuri.
Karibu.
Mgeni:
Baba Hadija, habari
za kazi?
Baba
Hadija: Nzuri. Salama.
Mama Hadija: Karibu ukae
Mgeni:
Asante.
Habari za nyumbani?
Mama Hadija: Salama tu.
Mgeni: Watoto
hawajambo?.
Mama Hadija: Hawajambo. Habari
za huko ulikotoka?
Mgeni: Salama tu.
Baba Hadija: Habari za safari?
Mgeni: Safari njema
kabisa.
Baba Hadija: Pole
sana na safari.
Mgeni: Nashukuru. Nashukuru
Nimeshapoa.
|